min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kuna kipanga hanna yeye ni sniper mkimya tu anadungua na kusepa🤣Mi kama Lissu najitetea mwenyewe na wote nawatoa knockout 😹😹
Kuna kipanga hanna yeye ni sniper mkimya tu anadungua na kusepa🤣Mi kama Lissu najitetea mwenyewe na wote nawatoa knockout 😹😹
Kuhusu id za manyau manyau? 😹😹Kuna kipanga hanna yeye ni sniper mkimya tu anadungua na kusepa🤣
Ndimu mkata shombo.Mi kama Lissu najitetea mwenyewe na wote nawatoa knockout 😹😹
Hiyo ya O na hisi nilisha ignore kitambo🤣Kuhusu id za manyau manyau? 😹😹
Min wewe ndo ulichelewa kujua, sisi wacuba tulizijua muda..!! Muulize mariposa siku niliyomchallenge kuhusu id zake akwambie, halafu siku nyingine tena tulikua na coca kwenye uzi wake wa kusema anasaidia watu tukawa tunamcheka kumbe wenzake kitambo tunammanya..!!
Sasa achana na zile id ambazo aliweka namba moja zote, kuna nyingine hizo huwezi kujua mpk tukufungulie codes majasusi 😹😹
Kuna moja hiyo inajiita zero minus ifatilie.
Oya Intelligent businessman hivi mwanao zero yupo?
Unawajua kina Meridian Biao ?Bora kuweka pesa international banks.
Ko amesha kuwa mwanangu ehh 😂 🦅Kuhusu id za manyau manyau? 😹😹
Min wewe ndo ulichelewa kujua, sisi wacuba tulizijua muda..!! Muulize mariposa siku niliyomchallenge kuhusu id zake akwambie, halafu siku nyingine tena tulikua na coca kwenye uzi wake wa kusema anasaidia watu tukawa tunamcheka kumbe wenzake kitambo tunammanya..!!
Sasa achana na zile id ambazo aliweka namba moja zote, kuna nyingine hizo huwezi kujua mpk tukufungulie codes majasusi 😹😹
Kuna moja hiyo inajiita zero minus ifatilie.
Oya Intelligent businessman hivi mwanao zero yupo?
😹😹😹 Ila chino una vimaneno vya uswahilini wewe..!!Ndimu mkata shombo.
Hao wahuni tunaishi nao min uta ignore wangapi? 😹😹Hiyo ya O na hisi nilisha ignore kitambo🤣
Mwanao sana 😹😹😹Ko amesha kuwa mwanangu ehh 😂 🦅
Wajomba kumbe mpo hewani mnaendelea kupiga story kimya kimya😀😀😀😀CRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Njoo kule unioneshe ulivyopendeza na Uzi wako.😹😹😹 Ila chino una vimaneno vya uswahilini wewe..!!
😹😹😹 Toka helsi atoe pesa zetu awachangie veggies hata hilo team silipendi tena..!!Njoo kule unioneshe ulivyopendeza na Uzi wako.
Na hersi hana dogo😹😹😹 Toka helsi atoe pesa zetu awachangie veggies hata hilo team silipendi tena..!!
Haija wahi, Karudi, ila mwacheni apumzike 😂😅Mwanao sana 😹😹😹
Watazomewa hadi washangae 😹😹Na hersi hana dogo
Na Leo mama lazima aje na comeback pitia wananchi.
😹😹 Ngoja nikamchokoze..!!Haija wahi, Karudi, ila mwacheni apumzike 😂😅
Kabadili jina, hadi I'd mwacheni apumzike kwa amani 😂😂😹😹 Ngoja nikamchokoze..!!
😂😂😂😂😂Tajiri ana laki 5 😹
Naona unapita na upepo wa CRDB 🤣
Wewe hata account huna ila upo kuwajaza member hapa..!!
😂😂😂😂😂Mimi juzi nililipia mzigo wa 1.8m kutoka kwenye akaunti Yangu ya CRDB kwenda NMB......
Hela inaonekana imekatwa lakini kunakohusika haijafika.......
Baadae mchana napokea sms kuwa muamala umerudishwa lakini nikiangalia kwenye akaunti yangu hela haijarudishwa......
Nimefika ofisini kwao wamenipa fomu ya malalamiko alafu wakaniambia nisubirie.......mpaka ijumaa ndio nirudi!!
Hapo kaunta nimekuta watu kibao macho yamewatoka....hawa jamaa mpaka mambo yakae sawa watasababisha ongezeko kubwa la wagonjwa visukari na presha