BrainOs
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 326
- 549
Njooni kwenye CRYPTO CURRENCY
Bank hizi ni wanyonyaji sijui twende wapi
Bank hizi ni wanyonyaji sijui twende wapi
Huko mkuu Sina utaalam nakoNjooni kwenye CRYPTO CURRENCY
JifunzeHuko mkuu Sina utaalam nako
Huko nilishajaribu nikapigwa. Mwaka 2020 Kuna coin Moja ya meme ilikuwa Iko hot inaitwa Shiba Inu ilipita na laki 9 zangu mpaka Leo zimepotelea huko. Mwaka huu mwanzoni pai coin imepita na 1m mpaka Leo inaporomoka tu. Ngoja niingie kwenye account niscreen shot uone maana utahisi ni chai. Kwenye 1m imeporomoka mpaka mia 20😄J
Jifunze
Wenye mamlaka ya kuangalia mabenki yaani Benki Kuu ya Tanzania - BOT wanasemaje kuhusu malalamiko ya wateja wa CRDB Bank ?Hii bank imenikwaza Sana pesa zangu baadhi baada ya marekebisho zimepotea na bank statement inaishia siku yangu ya mwisho Kutoa pesa.
Sasa juzi Jana na leo nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote.
Hii bank imekuwa ya kijinga Sana.
Bora kuweka pesa international banks.
JifunzeHuko mkuu Sina utaalam nako
Crypto inahitaji maarifa.. Lengo langu halikuwa kukushashuri ufanye trading but serving.. How through usdt hii ni stable coin bei haibadiliki lakini pia ukitaka upate faida unangalia soko kama sarafu zikishuka unaswap dollars zako kwenda coin unayo hitaji then ukiona zimepanda unasell unarudisha dola zako na kafaida juu.. Sema kama hauna maarifa ya kutosha lazima utapatotezaHuko nilishajaribu nikapigwa. Mwaka 2020 Kuna coin Moja ya meme ilikuwa Iko hot inaitwa Shiba Inu ilipita na laki 9 zangu mpaka Leo zimepotelea huko. Mwaka huu mwanzoni pai coin imepita na 1m mpaka Leo inaporomoka tu. Ngoja niingie kwenye account niscreen shot uone maana utahisi ni chai. Kwenye 1m imeporomoka mpaka mia 20😄View attachment 3470578
Hayo madude. Ni yakae kushoto mkuu maana naona Haina tofauti na bettingJ
Jifunze
Crypto inahitaji maarifa.. Lengo langu halikuwa kukushashuri ufanye trading but serving.. How through usdt hii ni stable coin bei haibadiliki lakini pia ukitaka upate faida unangalia soko kama sarafu zikishuka unaswap dollars zako kwenda coin unayo hitaji then ukiona zimepanda unasell unarudisha dola zako na kafaida juu.. Sema kama hauna maarifa ya kutosha lazima utapatoteza
Hahaha 😂🤣 mkuu nikikumbuka Pi coin 😆😆😆👆🏿👆🏿👆🏿Huko mkuu Sina utaalam nako
Juzi nilijaribu kununua bundle wakakata hela ila sikuona salio. Nimebaki kuangalia balance ila sigusi chochote hadi hali ikae vizuri, au niende dirishani kutoa, ila simbanking na atm kwa sasa hapana
Huko nilishajaribu nikapigwa. Mwaka 2020 Kuna coin Moja ya meme ilikuwa Iko hot inaitwa Shiba Inu ilipita na laki 9 zangu mpaka Leo zimepotelea huko. Mwaka huu mwanzoni pai coin imepita na 1m mpaka Leo inaporomoka tu. Ngoja niingie kwenye account niscreen shot uone maana utahisi ni chai. Kwenye 1m imeporomoka mpaka mia 20😄View attachment 3470578
Huenda bado ikawa risk kutoa kwa atm 🏧, malalamiko ni mengi kila kona, na process za kurudisha miamala kama huna alternative nyingine utashindwa kufanya mambo yako.ATM inatoa.. jana nimetoa mie
Ila CRDB wakala bado inasua sua
Kabisa mkuu, hii ni kamariDah hii hatari sasa ni kamari hii
Daaah mkuu pesa naweka NBC na hii ndo kadi yangu toka chuo..Poor Brain sikuoni kwenye hizi nyuzi za crdb, wewe huweki pesa bank?
Au zote unanua movie za jumla kwa Dj Mark??
Pia MAENDELEO BANK kwanza ni bank ya kanisa kqa hiyo kuna ka imani fulani pili kwa misadaka inayokusanywa kila siku ni ngumu sana kuyumba.Hawa jamaa sio watu wazuri hata kidogo kwa sasa ni Bora selcom pesa exim bank na nbc bank pamoja na stanbc bank hawa wapo vizuri sana
Usipendelee kupanda bodaboda mkuu, kama wataka kuwahi basi ondoka mapema chukua daladala au bajaji.Daaah mkuu pesa naweka NBC na hii ndo kadi yangu toka chuo..
Ila sasa naona na wao sasa hivi wana umama ...
Mkuu nimeamini boda boda ni usafiri hatare duniani...
Leo ilikua chupu chupu nilambe joto la lami aiseee
Kumbe mara moja moja una madiniUsipendelee kupanda bodaboda mkuu, kama wataka kuwahi basi ondoka mapema chukua daladala au bajaji.
Boda ni kwa dharula sio usafiri tegemezi huo.