cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂😂Ni balaa!
Kuna baadhi ya wateja mitonyo imeongezeka tofauti na salio lililokuwepo,kuna wenzangu na Mimi hata kile kidogo kimelambwa,wanakimbizana bank!
😂😂😂😂😂Ni balaa!
Kuna baadhi ya wateja mitonyo imeongezeka tofauti na salio lililokuwepo,kuna wenzangu na Mimi hata kile kidogo kimelambwa,wanakimbizana bank!
Dah😂😅Tajiri ana laki 5 😹
Naona unapita na upepo wa CRDB 🤣
Wewe hata account huna ila upo kuwajaza member hapa..!!
Ila Dr manyau nyau, niliwahi mfurusha na li parody lake fulani.Kuhusu id za manyau manyau? 😹😹
Min wewe ndo ulichelewa kujua, sisi wacuba tulizijua muda..!! Muulize mariposa siku niliyomchallenge kuhusu id zake akwambie, halafu siku nyingine tena tulikua na coca kwenye uzi wake wa kusema anasaidia watu tukawa tunamcheka kumbe wenzake kitambo tunammanya..!!
Sasa achana na zile id ambazo aliweka namba moja zote, kuna nyingine hizo huwezi kujua mpk tukufungulie codes majasusi 😹😹
Kuna moja hiyo inajiita zero minus ifatilie.
Oya Intelligent businessman hivi mwanao zero yupo?
Anajiita Bairu 😹😹Kabadili jina, hadi I'd mwacheni apumzike kwa amani 😂😂
CRDB imeleta hekaheka saidia fundi wote wanapita na upepo..!! 😹Dah😂😅
😹😹😹 Manyau nyau jau sana..!!Ila Dr manyau nyau, niliwahi mfurusha na li parody lake fulani.
Hatokaa anisahau. 😂😂😂😂😂😂
Hii benki ni ya kiduanziCRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Wakifika 500 naachaHao wahuni tunaishi nao min uta ignore wangapi? 😹😹
CRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Mimi laki 4 na piont siioni kwenye acNaamini hizo pesa zinazopotea watazirudisha. Mm nimepotelewa 125,000 dadeki halafu sina cha kufanya.
Walipita na masalia ya mshahara jana nikaona nikienda tawini watanipa mafomu nijaze nimepiga simu huduma kwa wateja leo wamerudisha chenji zangu, Hapa nafikiria kubadirisha bank ya kupitishia mshahara.Mimi juzi nililipia mzigo wa 1.8m kutoka kwenye akaunti Yangu ya CRDB kwenda NMB......
Hela inaonekana imekatwa lakini kunakohusika haijafika.......
Baadae mchana napokea sms kuwa muamala umerudishwa lakini nikiangalia kwenye akaunti yangu hela haijarudishwa......
Nimefika ofisini kwao wamenipa fomu ya malalamiko alafu wakaniambia nisubirie.......mpaka ijumaa ndio nirudi!!
Hapo kaunta nimekuta watu kibao macho yamewatoka....hawa jamaa mpaka mambo yakae sawa watasababisha ongezeko kubwa la wagonjwa visukari na presha
Kipindi cha Kimei hali ilikuwa tofautiNmb wamewazidi mbali sana CRDB.
......CRDB huduma zao zimekuwa mbovu sana, hata kwa mawakala ni mara nyingi sana mtandao wa CRDB unasumbua ila NMB upo sawa muda wote.
Bora ww wamekufanyia chap chap......Walipita na masalia ya mshahara jana nikaona nikienda tawini watanipa mafomu nijaze nimepiga simu huduma kwa wateja leo wamerudisha chenji zangu, Hapa nafikiria kubadirisha bank ya kupitishia mshahara.
Walitaka niishi maisha magumu hizi wiki mbili.
Hilo halipo kwa Tanzania, watz hawajafikia level ya kususia bidhaa. Off course wanaweza kususia bidhaa mtandaoni ila wakizima data wananunua bidhaa zilezile walizo brag online kwamba hawatazitumia.CRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa