technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wamekula 300,000 yangu wamelambaCRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Nilikuwa na laki 5 kwenye account nikaja kukuta 300 ndio ipo aloo sio powaWamekula 300,000 yangu wamelamba
Ingawa ni ndogo lakini big no kwa trust niliyokuwa nayo kwenye hii bank.
CCMRDB si ndio wanachama wote wa CCM wanaweka hela huko na hawalalamikii kinachofanyikaCRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Huwa mara zote naonaga njia bora ya kutunza pesa ni kuiwekeza tuHawa jamaa sio watu wazuri hata kidogo kwa sasa ni Bora selcom pesa exim bank na nbc bank pamoja na stanbc bank hawa wapo vizuri sana
Uweke ndani?Huwa mara zote naonaga njia bora ya kutunza pesa ni kuiwekeza tu
Fuga , Lima anzisha viwanda vidogo dogo , vimilioni kadha sio pesa ya kufuga bank bwashee 😅( utani)Uweke ndani?
Aisee kama ni mimi nadhani NCHI nzima ingejua kuhusu hiliNilikuwa na laki 5 kwenye account nikaja kukuta 300 ndio ipo aloo sio powa
50% ya watu wamepigwa mafisadi yatakuwa yameona ndio muda wa kukusanya pesa za kumalizia uchaguzi wao fake.Nilikuwa na laki 5 kwenye account nikaja kukuta 300 ndio ipo aloo sio powa
Sasa mpinzani wa kuchukua nafasi ya CRDB ni nani kwa Tz, mambo mengne ni rahisi kusema ila ni ngumu kiuharisia.CRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Kwahiyo wanatakatisha?CCMRDB si ndio wanachama wote wa CCM wanaweka hela huko na hawalalamikii kinachofanyika
Jiongeze basi ukishindwa uliza.. Mshindani ni NMBSasa mpinzani wa kuchukua nafasi ya CRDB ni nani kwa Tz, mambo mengne ni rahisi kusema ila ni ngumu kiuharisia.
Zipo kwenye kampeni subiri kampeni ziisheKwahiyo wanatakatisha?
Nmb wamewazidi mbali sana CRDB.Sasa mpinzani wa kuchukua nafasi ya CRDB ni nani kwa Tz, mambo mengne ni rahisi kusema ila ni ngumu kiuharisia.
Umetumia njia gani kutoa?Hii bank imenikwaza Sana pesa zangu baadhi baada ya marekebisho zimepotea na bank statement inaishia siku yangu ya mwisho Kutoa pesa.
Sasa juzi Jana na leo nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote.
Hii bank imekuwa ya kijinga Sana.
Bora kuweka pesa international banks.
Tajiri ana laki 5 😹Nilikuwa na laki 5 kwenye account nikaja kukuta 300 ndio ipo aloo sio powa
Million ipi tena? Kasema aliweka laki 5 😹😹Fuga , Lima anzisha viwanda vidogo dogo , vimilioni kadha sio pesa ya kufuga bank bwashee 😅( utani)