Hatimaye nimejiunga JamiiForum

Hatimaye nimejiunga JamiiForum

Kabla ya kujiunga JF ulizoea mitandao ipi ya kijamii, na je, JF ulianzaje kuifahamu
Whatsapp, FB na INSTAGRAM.

Nimeifahamu Jf kwa kuona post zake Fb, baada ya kuzifuatilia hasa kwenye mijadala halafu nikajaribu kutaka na mimi kuchangia mada nikashindwa ndio nikaamua nijiunge ili niweze kuwa miongoni mwa wenye kuchangia mada za humu
 
safi. Kwa uzoefu wa humu wageni huwa hawaji na signature. vip wewe umekuja nayo kabisa
Natumia PC wakati wa setting niliona hiyo nafasi ya signature, na pia kwa wenyeji wa humu walio wengi nilipoingia nikaona kwenye post zao kuna hicho kitu ndio na mimi nikaamua kukiweka
 
Natumia PC wakati wa setting niliona hiyo nafasi ya signature, na pia kwa wenyeji wa humu walio wengi nilipoingia nikaona kwenye post zao kuna hicho kitu ndio na mimi nikaamua kukiweka
Nini kinachokupa ugumu kutaja jinsia yako
 
We jinsia gani maana nlikuwa natafta mchumba na wote washapata wenza mimi ndio zamu yangu mgen akitokea trip hii ilikuwa zamu langu
mazo.jpg
 
Back
Top Bottom