chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kujiunga JF ulizoea mitandao ipi ya kijamii, na je, JF ulianzaje kuifahamuAhsante sana
Kabla ya kujiunga JF ulizoea mitandao ipi ya kijamii, na je, JF ulianzaje kuifahamuAhsante sana
Wala sio mgeni ni ID mpya tuHabari zenu wana JamiiForum,
Mimi ni mgeni katika hii media, ni matumaini yangu nitapata ushirikiano mzuri kwenye matumizi ya hii media kwa kunielekeza yote nisiyoyajua
Shukrani sana
Whatsapp, FB na INSTAGRAM.Kabla ya kujiunga JF ulizoea mitandao ipi ya kijamii, na je, JF ulianzaje kuifahamu
Kuna ka ukweli hapa.Wala sio mgeni ni ID mpya tu
Kwanza sorry kwa kuingilia privacy yako. Hadi mida hii umeganda kwenye mtandao, hauna mwenza wa kuliwazana au japo kupiga story tu?T
Thanks
safi. Kwa uzoefu wa humu wageni huwa hawaji na signature. vip wewe umekuja nayo kabisaNdio
Natumia PC wakati wa setting niliona hiyo nafasi ya signature, na pia kwa wenyeji wa humu walio wengi nilipoingia nikaona kwenye post zao kuna hicho kitu ndio na mimi nikaamua kukiwekasafi. Kwa uzoefu wa humu wageni huwa hawaji na signature. vip wewe umekuja nayo kabisa
Nini kinachokupa ugumu kutaja jinsia yakoNatumia PC wakati wa setting niliona hiyo nafasi ya signature, na pia kwa wenyeji wa humu walio wengi nilipoingia nikaona kwenye post zao kuna hicho kitu ndio na mimi nikaamua kukiweka
Swali zuri sanasafi. Kwa uzoefu wa humu wageni huwa hawaji na signature. vip wewe umekuja nayo kabisa
Naona kalipangua swali aseeNatumia PC wakati wa setting niliona hiyo nafasi ya signature, na pia kwa wenyeji wa humu walio wengi nilipoingia nikaona kwenye post zao kuna hicho kitu ndio na mimi nikaamua kukiweka
mkuu kwanin aslale tu huyo??Ok. Humu ndani ya JF kuna kona nyingi, nyingine watu wanakesha hawalali. Je, wewe unaweza kukesha?
Nilimwambia alale akagoma, Naona anataka kushuhudia baba zake huwa tunafanya nini usikumkuu kwanin aslale tu huyo??