Hatimaye nimejiunga JamiiForum

Hatimaye nimejiunga JamiiForum

Kutokana na majibu yako Unaonekana mjanja wewe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mimi binafsi siwezi kujua kama ni mjanja, wewe ndio unaweza kuthibitisha hilo
 
Kweli ni kisiwa cha maarifa na burudani. Baada ya mishughuliko yangu ya kutwa ninaondoa uchovu na JF kuna watu wananifurahisha sana majibu mafupi ya vichekesho. Nitajiungaje Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli sana, hili jukwaa ni tamu sana.
Nina siku chache lakini nimejifunza vitu vingi sana
 
Back
Top Bottom