Hatimaye nimejiunga nanyi!

Shaka ondoa mrembo jisikie uko kwa home,unapendela msoi gani?

Nyie ndio wale mnapeleka mademu lodge halafu unamuambia jisikie uko nyumban!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mh ukaribisho wa madada unakuwaga tofauti kabisa na ukaribisho wa NJEMBAz!

Yani njemba unaweza ukakuta kakaribishwa na member mmoja tu!

Kweli nyuki hutua kwenye ua linukialo

sooooo are you sad au hutaki tumkaribishe mgeni wetu???????????
Nyie ndio wale mnapeleka mademu lodge halafu unamuambia jisikie uko nyumban!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
jamani umeongea kwa huruma hadi naumia mwenzio haya basi chakula kimegoma kutokea basi kuwa na subira kidogo niko nafanya manuva.
 
Mh ukaribisho wa madada unakuwaga tofauti kabisa na ukaribisho wa NJEMBAz!

Yani njemba unaweza ukakuta kakaribishwa na member mmoja tu!

Kweli nyuki hutua kwenye ua linukialo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Just relax mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…