Kiwa
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,102
- 907
Shaka ondoa mrembo jisikie uko kwa home,unapendela msoi gani?
Nyie ndio wale mnapeleka mademu lodge halafu unamuambia jisikie uko nyumban!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shaka ondoa mrembo jisikie uko kwa home,unapendela msoi gani?
Nyie ndio wale mnapeleka mademu lodge halafu unamuambia jisikie uko nyumban!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
jamani umeongea kwa huruma hadi naumia mwenzio haya basi chakula kimegoma kutokea basi kuwa na subira kidogo niko nafanya manuva.unajua wewe Blue G una utani, na unajua kabisa sasa hv ni lunch time! sasa mbona chakula sikioni naona alama ya X nyekundu tu!? au ndio chakula chenyewe!!!!!
bora sikuja na mgeni, ningeambikaje? au ndio njama zako best, pamoja na kukuahidi zawadi nzurunzuri kweli bado unanifanyia hivyo, aibu yangu nitaweka wapi sasa mbele ya mgeni jamani!!!
Mh ukaribisho wa madada unakuwaga tofauti kabisa na ukaribisho wa NJEMBAz!
Yani njemba unaweza ukakuta kakaribishwa na member mmoja tu!
Kweli nyuki hutua kwenye ua linukialo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hodi wenye nyumba!,mi mgeni mji huu!