Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

It's all abt passion.
Wewe kuna a motive behind ambayo inaku-stress ufanye hiyo hacking. After all unapaswa kuwa very smart unapotaka kuwa hacker. Sio kila mtu anaweza kuwa hacker. It takes a dedication and commitment kuwa hacker...
For sure nadhani nilichelewa kujifunza Hacking laiti ningeanza ata 10 yrs ningekuwa vizuri
 
Thanks Mkuu kwa kukubaliana na matokeo.
Rudi kwenye njia tu za kienyeji, means utapeli wa kawaida tu, Mbona Watu tunapiga hela na maisha yanakwenda...
Pole kwa kupoteza muda wako Mkuu...😂😂
kweli mkuu Kuna jamaa ana group kubwa la telegram anawauzia watu app za aviator predictor ili wawin hicho michezo, anauza odds, anawadanganya watu vitu vingi Sana , lengo ni kushiba tu
 
Hapo mwishoni ndiyo umehitimisha ulivyo!
Kwamba kiufupi huna kupaji!!!
nahisi kipaji ninacho Kama nilijifunza programming mwenyewe, Kali Linux pia my typing speed is getting very higher siku Hadi siku.
nadhani nilichokoswa ni exposure tu ya vifaa vya kimtandao nilipokuwa Bado mdogo na elimu ya school ilinikeep busy sana
 
Hacking ni ngumu ila ukiwa unaifanya kama Mtanzania ndio inakuwa ngumu maradufu

Ma IT wa bongo kwenye mfumo tu wa kuomba mkopo chuoni wamechemka ndio ije ishu ya hacking?

Vpn tu zimewashinda, juzi TTCL wame block host kila mtu kapagawa hakuna mwenye mbinu mbadala.
 
Hacking ni ngumu ila ukiwa unaifanya kama mtanzania ndio inakata ngumu maradufu

Ma IT wa bongo kwenye mfumo tu wa kuomba mkopo chuoni wamechemka ndio ije ishu ya hacking?

Vpn tu zimewashinda, juzi TTCL wame block host kila mtu kapagawa hakuna mwenye mbinu mbadala.
Mimi hacking pekee niliyowai itamani na naitamani ni hiyo ya kupata host, ila najua sio kitoto so nka amua kutulia kabisa.
 
It's all abt passion.
Wewe kuna a motive behind ambayo inaku-stress ufanye hiyo hacking. After all unapaswa kuwa very smart unapotaka kuwa hacker. Sio kila mtu anaweza kuwa hacker. It takes a dedication and commitment kuwa hacker. Pia unapaswa kuwa na resources za kufanyia hizo hacking and it's a bit expensive.

Wapo vijana wanaweza hata kuhack system za matokeo hapo chuoni mara kadhaa tumesikia huo ni mfano mdogo tu ambao unaonesha inawezekana.
chuo cha MUST - MBEYA kawaida iyo.

kuna jamaa angu alikua anadaiwa ada around 800k af bado siku mbili tu wafanye mtiani ikabidi amtafute mwamba akamlipa 250k akahack system ikaclear deni akafanya mitiani kama kawaida.

iyo ya matokeo ni kawaida, nakumbuka mwaka juzi chuoni kwetu walihack wahuni wakajitoa kwenye supp ila waligundulika wakadisco.
 
nahisi kipaji ninacho Kama nilijifunza programming mwenyewe, Kali Linux pia my typing speed is getting very higher siku Hadi siku.
nadhani nilichokoswa ni exposure tu ya vifaa vya kimtandao nilipokuwa Bado mdogo na elimu ya school ilinikeep busy sana

Hapo kwenye typing speed naomba nisaidie ili niwe pro.
 
hackers wanakuwa above the system ... wana hack mifumo mikubwa, lakini kitu ambacho mtu anakuwa amejifunza kwa muda mrefu ..... Kinachonishangaza ni hackers na whistle blowers, mfano Snowden yeye sio hacker , lakini anapewa taarifa na hackers ambazo anazitumia kwa kwenye site yake.. Sasa wale wanaompa taarifa wanapata faida gani, au ile tu jambo limejulikana... Hivyo utaona hackers wengi wana passion ya jambo na siyo economic gain.... La sivyo hackers wangekuwa matajiri sana ..
 
upo sahihi mkuu , lakini technologia ya computer ni pana Sana , kufahamu exactly mfumo unafanyaje kazi inakupaswa angalau uwe na degree ya computer engineering plus miaka mingne ya kujifunza mwenyewe so ni upotevu wa mda
Huwezi ingilia kila mfumo.. ni vizuri uka specialize boss.. na ukajikita katika eneo husika.. kama unataka kuwa mtabe kwenye mobile, web, net , reverse , foren ect.. ukisaka kujua kila kitu huo utakuwa ni uwongo... kujua sana programi au net au kusoma computer Eng.. hakutokufanya uwe hacker mzuri kama una mawazo hayo loss ya kwanza hiyo.. vitakusaidia kwa sehemu ila havitokufanya kuwa bora zaidi.. nilishapewa task kwenye chuo flani na mtabe wao.. pale.. mwisho wa siku nilikuja mfundisha.. kwasababu yeye alikuwa mzuri sana kwenye Net.. ila kwenye Web App alikuwa tia maji tia maji.. tafuta eneo flani ujikite .. sio kazi rahisi.. inaweza kukuchukua miaka.. na kadri unavyodumu kwenye game ndio unazidi kuwa na maunjanja ya kutosha
 
hackers wanakuwa above the system ... wana hack mifumo mikubwa, lakini kitu ambacho mtu anakuwa amejifunza kwa muda mrefu ..... Kinachonishangaza ni hackers na whistle blowers, mfano Snowden yeye sio hacker , lakini anapewa taarifa na hackers ambazo anazitumia kwa kwenye site yake.. Sasa wale wanaompa taarifa wanapata faida gani, au ile tu jambo limejulikana... Hivyo utaona hackers wengi wana passion ya jambo na siyo economic gain.... La sivyo hackers wangekuwa matajiri sana ..
Hao ni hackers sema ni grey hackers Ila Kuna Hawa wahalifu ndio wanaitwa black hat hackers
 
Back
Top Bottom