Kitandu Nkoru
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 885
- 973
For sure nadhani nilichelewa kujifunza Hacking laiti ningeanza ata 10 yrs ningekuwa vizuriIt's all abt passion.
Wewe kuna a motive behind ambayo inaku-stress ufanye hiyo hacking. After all unapaswa kuwa very smart unapotaka kuwa hacker. Sio kila mtu anaweza kuwa hacker. It takes a dedication and commitment kuwa hacker...
kweli mkuu Kuna jamaa ana group kubwa la telegram anawauzia watu app za aviator predictor ili wawin hicho michezo, anauza odds, anawadanganya watu vitu vingi Sana , lengo ni kushiba tuThanks Mkuu kwa kukubaliana na matokeo.
Rudi kwenye njia tu za kienyeji, means utapeli wa kawaida tu, Mbona Watu tunapiga hela na maisha yanakwenda...
Pole kwa kupoteza muda wako Mkuu...😂😂
nahisi kipaji ninacho Kama nilijifunza programming mwenyewe, Kali Linux pia my typing speed is getting very higher siku Hadi siku.Hapo mwishoni ndiyo umehitimisha ulivyo!
Kwamba kiufupi huna kupaji!!!
huwa na type speed Sana afu huwa sirudii kusoma nilichoandika so hiyo typing error tu ya kawaidaWewe hujui chochote kuhusu hacking!
Hata kuandika hujui, unaweza nini??!
...mala ingine ndio ushuzi gani?
Acha nianze kilimo Cha mbogamboga mapema angalau kitanipa manufaaProgramming haujui/haujaielewa
Networking siyo LAN,WAN,PAN etc jifunze network engineering + network security.
Jifunze coding kwa sana na udig virus kwa sana
Mimi hacking pekee niliyowai itamani na naitamani ni hiyo ya kupata host, ila najua sio kitoto so nka amua kutulia kabisa.Hacking ni ngumu ila ukiwa unaifanya kama mtanzania ndio inakata ngumu maradufu
Ma IT wa bongo kwenye mfumo tu wa kuomba mkopo chuoni wamechemka ndio ije ishu ya hacking?
Vpn tu zimewashinda, juzi TTCL wame block host kila mtu kapagawa hakuna mwenye mbinu mbadala.
chuo cha MUST - MBEYA kawaida iyo.It's all abt passion.
Wewe kuna a motive behind ambayo inaku-stress ufanye hiyo hacking. After all unapaswa kuwa very smart unapotaka kuwa hacker. Sio kila mtu anaweza kuwa hacker. It takes a dedication and commitment kuwa hacker. Pia unapaswa kuwa na resources za kufanyia hizo hacking and it's a bit expensive.
Wapo vijana wanaweza hata kuhack system za matokeo hapo chuoni mara kadhaa tumesikia huo ni mfano mdogo tu ambao unaonesha inawezekana.
nahisi kipaji ninacho Kama nilijifunza programming mwenyewe, Kali Linux pia my typing speed is getting very higher siku Hadi siku.
nadhani nilichokoswa ni exposure tu ya vifaa vya kimtandao nilipokuwa Bado mdogo na elimu ya school ilinikeep busy sana
Huwezi ingilia kila mfumo.. ni vizuri uka specialize boss.. na ukajikita katika eneo husika.. kama unataka kuwa mtabe kwenye mobile, web, net , reverse , foren ect.. ukisaka kujua kila kitu huo utakuwa ni uwongo... kujua sana programi au net au kusoma computer Eng.. hakutokufanya uwe hacker mzuri kama una mawazo hayo loss ya kwanza hiyo.. vitakusaidia kwa sehemu ila havitokufanya kuwa bora zaidi.. nilishapewa task kwenye chuo flani na mtabe wao.. pale.. mwisho wa siku nilikuja mfundisha.. kwasababu yeye alikuwa mzuri sana kwenye Net.. ila kwenye Web App alikuwa tia maji tia maji.. tafuta eneo flani ujikite .. sio kazi rahisi.. inaweza kukuchukua miaka.. na kadri unavyodumu kwenye game ndio unazidi kuwa na maunjanja ya kutoshaupo sahihi mkuu , lakini technologia ya computer ni pana Sana , kufahamu exactly mfumo unafanyaje kazi inakupaswa angalau uwe na degree ya computer engineering plus miaka mingne ya kujifunza mwenyewe so ni upotevu wa mda
Ndio ndio mkuu sijui.. una lingine tena ?Wewe hujui chochote kuhusu hacking!
Hata kuandika hujui, unaweza nini??!
...mala ingine ndio ushuzi gani?
Hawa mashehe sio wakuamini wanapata hela kwa njia zisizo halali kabisa
KweliHayo mambo kwanza yanahitaji resources za kutosha kuanzia muda, maarifa, vifaa vya kutosha (tech), pesa etc.
Kuhack ni rahisi midomoni tu na kwenye movies.
Hao ni hackers sema ni grey hackers Ila Kuna Hawa wahalifu ndio wanaitwa black hat hackershackers wanakuwa above the system ... wana hack mifumo mikubwa, lakini kitu ambacho mtu anakuwa amejifunza kwa muda mrefu ..... Kinachonishangaza ni hackers na whistle blowers, mfano Snowden yeye sio hacker , lakini anapewa taarifa na hackers ambazo anazitumia kwa kwenye site yake.. Sasa wale wanaompa taarifa wanapata faida gani, au ile tu jambo limejulikana... Hivyo utaona hackers wengi wana passion ya jambo na siyo economic gain.... La sivyo hackers wangekuwa matajiri sana ..
Kwa bongo kupata team ni kazi Sana