Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuuNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Hongera sana....jitahidi kulinda kiapo na kujiendelezaNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Manyota ya Kuonea watu, wanajeshi mnaonea raia badala ya kwenda congo mkaonesha ubabe. All in all HONGERA SANANamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
hamna msaada Kwa nchi zaidi ya vyeo vya uchawa ,mnalinda nini wakati wananchi wameporwa rasilimali zote?Nataka kufa Kwa ukweli wanajeshi wa watanzania ni hopelessNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
ukishavaa gwanda unajiona dunia yoote yako.. mna jipigia tu watu hovyo huku mtaaniNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Hongera sana, Mkuu. Nina imani Hata ngazi za awali ulikuwa tayari kulitumikia Taifa. Kwa Leo umedhibitishwa kuendelea kulitumikia Taifa katika Cheo Hiki adhimu katika Jeshi.Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Why,mi nilijua ni siye walimu tu?Utaishi kwa madeni mpaka ufe
Kamanda umepiga krosi kona,hatari sana wewe!!Kwahyo luteni unatafuta wa kuwatapeli humu kwamba utawaunganisha jeshini😂😂😂
Kumbe humu ndani kuna maafande? Wazee wa bisibisi!Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
👏👏👏✅Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Ulikua haupo tayariNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Bandari zinaporwa wao wako wanaangalia!hamna msaada Kwa nchi zaidi ya vyeo vya uchawa ,mnalinda nini wakati wananchi wameporwa rasilimali zote?Nataka kufa Kwa ukweli wanajeshi wa watanzania ni hopeless
Siku hizi mitaani kuna bisibisiukishavaa gwanda unajiona dunia yoote yako.. mna jipigia tu watu hovyo huku mtaani
Hamna tofautiWhy,mi nilijua ni siye walimu tu?