Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Ujinga tu,jeshi haliwezi kuunda hata bunduki.Hicho cheo umepewa ulinde kura za CCM kipindi cha uchaguzi.
Waliunda gari lao la NYUMBU sijui hata limeishia wapi, gari ambalo vitu vingi wamenunua nje kasoro matairi tu ndio walinunua General Tyre
 
Waliunda gari lao la NYUMBU sijui hata limeishia wapi, gari ambalo vitu vingi wamenunua nje kasoro matairi tu ndio walinunua General Tyre
General Tyre ilishakufa kitambo Mkuu..
 
Back
Top Bottom