Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Duuuhh
Hakuna afisa mpumbavu kiasi hicho.
Kule ni jando, ukitoka kule huwezi hata kutembea na gwanda mtaani.
Askari ndio wanaweza kufanya ulichokifanya wewe hapa na si afisa
 
Nokupomgeze mtoto wa mzee tumbo.nilikuwepo hiyo siku jumamosi kwenye mahafali yako.nikupongeze sana,piga kazi mkuu.
 
Back
Top Bottom