Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Wewe huna maadili ya Kijeshi kabisa na huna kifua cha kukaa Jeshini. Hulali na jambo tayari ushakimbilia mtandaoni kuanika?? Watoto wa Single Mothers mna matatizo sana. Jifunze kuishi misingi ya kijeshi achana na kutafuta sifa kwa raia
 
Mdau hajafanya jambo lolote baya mkuu! Isitoshe, alichokifanya kinaweza kikawa hamasa kwa watu wengine. Yumkini kuna watu wanaweza wakasaidika na ushuhuda wake wa mafanikio.

Wanajeshi nao ni binadamu. Hakuna kosa kujumuika na raia katika mambo ya kawaida.

Ni jambo la baraka kufahamu kuwa humu JF kuna kada zote: wanasiasa, usalama wa Taifa, JWTZ, Polisi, Magereza, wafanyabiashara, wakulima, madereva bodaboda, wabunge, mawaziri, n.k. Isitoshe, mtoa mada katumia anonymous id.

Ingelikuwa anatafuta sifa, angetumia id yake halisi.

Amefanya vizuri, usimhukumu.
 
Back
Top Bottom