Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Hongera sana, Mkuu. Nina imani Hata ngazi za awali ulikuwa tayari kulitumikia Taifa. Kwa Leo umedhibitishwa kuendelea kulitumikia Taifa katika Cheo Hiki adhimu katika Jeshi.

Kwa mara nyingine nakupongeza kwa hatua hii katika kuendelea kulitumikia Taifa, Mungu akubariki pamoja na Wenzako. Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…