Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Asa kama jf yenyewe unaingia kwa machale ata ukiingia huchangii Uzi kama mimi unakua msomaji tu unapewaje ban?
 
Nayo najua kuiandaa, ntakuandalia mjukuu wangu usisononeke

Ha ha ha, mwaka 2015 nilienda bush, nikakuta jamaa wanapiga gongo, nikanywa kichupa kidogo kama cha konyagi ndogo vile.

Noma, nilipofika home nililala masaa zaidi ya 12, toka hapo nikajua gongo ni moto sana, nilijua ni kama Konyagi ama Value, kumbe ina alcohol ya 70+
 
Gongo noma inachoma mpaka lips,, ila nikiwaga preg ndo kinywaji changu
 
Na pia kingine kuvumilia upumbavu wa thread za watu inasaidia sana..
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…