Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Id kongwe humu za watoto warembo hadi ukikutana nao unabaki mdomo wazi.Hizi ID pia zina-reflect umri wa watu walio wengi wenye ID kongwe zenye zaidi ya miaka mitano asilimia kubwa ni watu wazima umri wao umevuka miaka 25, kwa hiyo sio rahisi kupata ban maana mtu anabehave kiheshima zaidi. Huwa nahamaki sana mtu mwenye ID kongwe aki-misbehave.
hongera sana ila kuna roho wa mungu anataka nikutafutie ban ili ujifunze maisha ya kupigwa ban kidogoTarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
AiseeKuna Id kongwe humu za watoto warembo hadi ukikutana nao unabaki mdomo wazi.
Hahahaha umenikumbusha mbali.[emoji3][emoji3][emoji3]hongera sana miye ban ya kwanza na mdada anaitwa Kimberly sijui yuko wapi siku hizi kisa Ali Kiba na Daimond mwaka 2016 ya wiki,ya pili nilijichanganya siasani nkawekwa dentetion siku moja,ya tatu ndo zile za mkumbooo uleee wewe ukanusurika siku hizi jf sijui kwa nini sio sana kuingia maana wala siko busy!kivile
Haipo siku nyingi sana.
Wewe mkorofi mchumba haiwezekani ule ban ID zote hizo
Hongera sana kwa kutimiza miaka mi 5 bila ban.Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Usikute miongoni mwa hizo ID zako kuna unazonitongoza nazo PM.Hivi blog ya Sintah bado ipo? Nina kama miaka 7 hivi sijaingia kule.
Huu uzi nadhani haunihusu, maana nina ID kama 7 zote zina ban.
Usikute miongoni mwa hizo ID zako kuna unazonitongoza nazo PM.
Maana kuna iD inanitongoza ina sound kama zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutupiga fix[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Simjui moderator hata mmoja
JF ina siku zake inachanganyia adi unaweza sahau majukumu ahahha ..Sasa hivi nikitiwa ban naweza stahimili. Kuna kipindi nilikua teja kabisa wa JF
Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Acha kutupiga fix