Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Kuna Id kongwe humu za watoto warembo hadi ukikutana nao unabaki mdomo wazi.
 
hongera sana ila kuna roho wa mungu anataka nikutafutie ban ili ujifunze maisha ya kupigwa ban kidogo
 
Haipo siku nyingi sana.

Wewe mkorofi mchumba haiwezekani ule ban ID zote hizo
Hivi blog ya Sintah bado ipo? Nina kama miaka 7 hivi sijaingia kule.

Huu uzi nadhani haunihusu, maana nina ID kama 7 zote zina ban.
 
Hahahaha umenikumbusha mbali.
Kipindi hicho niliogea ban mpaka. Nikitoka tuu kwenye ban siku mbili nyingi narudi tena.

Utoto raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haipo siku nyingi sana.

Wewe mkorofi mchumba haiwezekani ule ban ID zote hizo

Tatu ziliunganishwa pamoja, ndo zikapigwa ban.

Hii inakula ban hata zingine sizielewi, na moja ya back up siikumbuki password wala email.

Na hii natamani ile umeme nipumzike JF tu.
 
Hongera sana kwa kutimiza miaka mi 5 bila ban.

Mimi nimekamilisha miaka mitano mwezi jana. Kweli nishazeeka.
 
Usikute miongoni mwa hizo ID zako kuna unazonitongoza nazo PM.
Maana kuna iD inanitongoza ina sound kama zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha, nishazisahau password. Siku hizi nimebaki na hii na ile nyingine.

Halafu hata siwezi kutongoza PM, nakutafuta tunaonana, nikiahakufanyia assessment nakutongoza macho kwa macho, huyo siyo mimi.
 

Hongera sana mdada, ni miongoni mwa watu walioweza kuchangamsha majukwaa mbalimbali hapa JF!! Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…