Tumedumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Simjui moderator hata mmoja
Mkuu inaonekana una kitu na namba sabaHivi blog ya Sintah bado ipo? Nina kama miaka 7 hivi sijaingia kule.
Huu uzi nadhani haunihusu, maana nina ID kama 7 zote zina ban.
Kwani mimi nimelalamika?Mficha uchi hazai... Umeweka kufuli halafu unalalamika hutongozwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Mkuu inaonekana una kitu na namba saba
Roger that!Unatuia sana akili kwenye vitu vya kawaida, punguza sister.
Halafu hata sijui imekuwaje nikamachisha, maana hata hizo namba nadhani haziko sahihi.
Roger that!
Hahahaha umenikumbusha mbali.
Kipindi hicho niliogea ban mpaka. Nikitoka tuu kwenye ban siku mbili nyingi narudi tena.
Utoto raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha embu fungua ukoKwani mimi nimelalamika?
Zawadi anapokea naniTarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.