Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hongera kwa kuwa kwenye kundi la ambao hatujalishwa ban tangu tujiunge humu.
 
Sasa mbona mimi hukunitongozaga?
Hahaha, nishazisahau password. Siku hizi nimebaki na hii na ile nyingine.

Halafu hata siwezi kutongoza PM, nakutafuta tunaonana, nikiahakufanyia assessment nakutongoza macho kwa macho, huyo siyo mimi.
 
Asante mwenza ila jitahidi kuwa mpole
Mwenza leo unachapia "nimemalisa,kipomo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera kwa 'kumalisa miaka mitano bila ban' mie nishapigwa mara mbili.
 
Tujipe ukongwe wa JF tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…