Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Sasa mbona mimi hukunitongozaga?
Hahaha, nishazisahau password. Siku hizi nimebaki na hii na ile nyingine.

Halafu hata siwezi kutongoza PM, nakutafuta tunaonana, nikiahakufanyia assessment nakutongoza macho kwa macho, huyo siyo mimi.
 
Asante mwenza ila jitahidi kuwa mpole
Mwenza leo unachapia "nimemalisa,kipomo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera kwa 'kumalisa miaka mitano bila ban' mie nishapigwa mara mbili.
 
Tujipe ukongwe wa JF tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbusheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nami miaka tano sasa jf [emoji23][emoji23][emoji23] ila ban zamani nilichezea mnoo kuna moja nilipewa ya miezi mingi weee nikafanya manuva ikafunguliwa kwa hii hii ya dina
 
Back
Top Bottom