Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hongera Mzigua90
 
Sasa mbona mimi hukunitongozaga?

Wewe siyo wa matumizi ya muda mfupi, kwa hiyo nachukua muda kukuandikia mistari.

Sitaki mistari laini, sitaki mistari ambayo itakosa supporting evidence na pia sitaki mistari itakayojaa promises ambazo ni zaidi ya uwezo.

I am raising my game to match your standards before I come.
 
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.


Eti, si imeandikwa kwamba mtu akikuzaba kofi katika shavu la kushoto mpe shavu la kulia akuzabe.!! 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…