Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi unaona umejificha kweli.Wanaonijua wasinitambue kirahisi
Ban ni ya umuhim sana kwa maisha ya JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ban ni kipomo cha ukomavu wa kutumia jukwaa eeeh?
hallelujah ameen ameshashindwaHuyo pepo ashindwe
Hongera Mzigua90Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Hela kaka angu
Wanaonijua wasinitambue kirahisi
Yeah, Sure.
Sasa mbona mimi hukunitongozaga?
Hiyo imewahi kuwa tatizo kwani?
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.