Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu. [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]GT[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123]
 
Hahahahaaa.. ban naichukulia kama suspension. Sijawahi kuwa mtoto mkorofi na utu uzima pia sitaki kuwa mkorofi kwa kupewa ban (suspension)
Ban ni ya umuhim sana kwa maisha ya JF
 
Hahahaaa. Sawa mchumba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua eeh
Labda anataka hela zilizowekwa picha take.

Mkuu habari yako?
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu. [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]GT[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua eeh

Naanzaje kukuua mchumba, mimi nimeuliza tu.
 
Nimekaa miaka 6 bila ban, eti nimekula ban mwezi uliopita tena kwa kumwita mtu m.se.nge [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Really?? Did not think so but thank you!!

You did for really, if you can recall I complimented the way you put your write-up with strong points on top, easy language and nice arrangement.

And then, there is that way you hold on your arguments no matter what. It tells a lot about someone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…