Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.

Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.

Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.

Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.

Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu. [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]GT[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123]
 
Hahahaaa. Sawa mchumba
Wewe siyo wa matumizi ya muda mfupi, kwa hiyo nachukua muda kukuandikia mistari.

Sitaki mistari laini, sitaki mistari ambayo itakosa supporting evidence na pia sitaki mistari itakayojaa promises ambazo ni zaidi ya uwezo.

I am raising my game to match your standards before I come.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua eeh
Labda anataka hela zilizowekwa picha take.

Mkuu habari yako?
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu. [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]GT[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba unaniua eeh

Naanzaje kukuua mchumba, mimi nimeuliza tu.
 
Nimekaa miaka 6 bila ban, eti nimekula ban mwezi uliopita tena kwa kumwita mtu m.se.nge [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Really?? Did not think so but thank you!!

You did for really, if you can recall I complimented the way you put your write-up with strong points on top, easy language and nice arrangement.

And then, there is that way you hold on your arguments no matter what. It tells a lot about someone.
 
Back
Top Bottom