Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Mie mpole sana mwenza, walinionea tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulikuwa tuna chit chat kwenye uzi wa mtu, akatusemelea kwa mods nikaenda kuchit chat tena hukohuko alikotusemelea[emoji85][emoji85]
Asante mwenza ila jitahidi kuwa mpole
 
Miaka 10 nikiwa Registered,na miaka mitatu na nusu kama guest bila ban,wala “mwanamke” humu..kwakweli kumbe na mi nastahili kujipongeza.
Nb:Hongera Mzigua90
 
Mimi nilipata ban mwaka 2012 toka hapo sijawahi pata tena. Huu ni mwaka wa 7 bila ban!
 
Back
Top Bottom