Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Sawa[emoji474][emoji474][emoji474]2Nina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa[emoji474][emoji474][emoji474]2Nina
Hahaa hivi ndo ule uzi tulishtakiwa hadi me nikaomba msamaha?
Haha si nina moyo wa kupondeka, niliomba msamaha. Wewe umekuja ndo kwanza unaanzisha storyNdio huo huo[emoji134][emoji134][emoji134]
We sijui ulihonga nini?
Kwenye profile ya mhusika (click hiyo avatar yako). Kwako naona ulijiunga Aug 6 2015Unaangalia wapi kuona ulijiunga mwaka gani!?
@bonny nae badala anitetee anashindilia humo humo[emoji134][emoji134][emoji134]Haha si nina moyo wa kupondeka, niliomba msamaha. Wewe umekuja ndo kwanza unaanzisha story
@bonny nae badala anitetee anashindilia humo humo[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha sasa wewe badala ya kuzuga ujifanye umepondeka moyo ukagoma; ban ikakuhusu
Mlizid vurugu ila ki ukweli...@bonny nae badala anitetee anashindilia humo humo[emoji134][emoji134][emoji134]
Sjui ulisahaulika wapi ChivuHahaha sasa wewe badala ya kuzuga ujifanye umepondeka moyo ukagoma; ban ikakuhusu
Utakua mstaarabu sana mkuu. Miaka 9 bila ban si mchezo.
Hongera na wewe mkuu
Me nilivyofika tu niliomba msamaha; dada ako akatia ngumuSjui ulisahaulika wapi Chivu
Nimekaa miaka 6 bila ban, eti nimekula ban mwezi uliopita tena kwa kumwita mtu m.se.nge [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mie mpole sana mwenza, walinionea tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulikuwa tuna chit chat kwenye uzi wa mtu, akatusemelea kwa mods nikaenda kuchit chat tena hukohuko alikotusemelea[emoji85][emoji85]