Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

Habari zenu wakuu, poleni na majukumu.

Kama kichwa kinavosema hapo juu, nina wiki sasa tokea nimeondoka nyumbani na kuamua kutafuta maisha ya kujitegemea, kwasasa ninaishi Kigamboni na nimeamua kuanza na hii biashara ya visheti.

Naomba sapoti yenu, kwa walio maofisini naweza wapitishia kwaajili ya chai kifungua kinywa au wenye maduka na supermarkets nitaleta kwa watakao hitaji nipo hapa kwaajili yenu.

Ahsante.

View attachment 2498775View attachment 2498776View attachment 2498777View attachment 2498778View attachment 2498779
Nakuombea
 
Jitahidi tu na Mungu muweza atakufungulia.
Unaweza na biashara nyingine ndogo? Maana naona visheti havitaweza kukuweka busy kipindi chote hasa hiki kipindi cha mwanzo mwanzo.
 
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu.

Kama kichwa kinavosema hapo juu, nina wiki sasa tokea nimeondoka nyumbani na kuamua kutafuta maisha ya kujitegemea, kwasasa ninaishi Kigamboni na nimeamua kuanza na hii biashara ya visheti.

Naomba sapoti yenu, kwa walio maofisini naweza wapitishia kwaajili ya chai kifungua kinywa au wenye maduka na supermarkets nitaleta kwa watakao hitaji nipo hapa kwaajili yenu.

Ahsante.

View attachment 2498775View attachment 2498776View attachment 2498777View attachment 2498778View attachment 2498779
Antonnia wewe hufanyi biashara kama huyu?
 
Back
Top Bottom