blackhandsome7
Member
- Jul 13, 2018
- 58
- 67
Uko vizuri unaanzia maisha kigambini pakuanzia maisha ni mbagala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Mungu akutangulie [emoji120]Habari zenu wakuu, poleni na majukumu.
Kama kichwa kinavosema hapo juu, nina wiki sasa tokea nimeondoka nyumbani na kuamua kutafuta maisha ya kujitegemea, kwasasa ninaishi Kigamboni na nimeamua kuanza na hii biashara ya visheti.
Naomba sapoti yenu, kwa walio maofisini naweza wapitishia kwaajili ya chai kifungua kinywa au wenye maduka na supermarkets nitaleta kwa watakao hitaji nipo hapa kwaajili yenu.
Ahsante.
View attachment 2498775View attachment 2498776View attachment 2498777View attachment 2498778View attachment 2498779