makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwenye avator ni wewe boss maana daaah nahitaji na mimi unipe ideas ya vipodozi vya kike.Hongera
Tengeneza na hata vipodozi vya kike Kama scrub. Mask .anti wrinkles na acne serum vitakuongezea mwendo usichague nini Cha kufanya mpendwa hata Kama jinsia ni me
Ngoja nianze kutengeneza utakuja niwe nakufanyia scrub πHongera
Tengeneza na hata vipodozi vya kike Kama scrub. Mask .anti wrinkles na acne serum vitakuongezea mwendo usichague nini Cha kufanya mpendwa hata Kama jinsia ni me
Huachagi upuuzi wako baba yolly yollyNgoja nianze kutengeneza utakuja niwe nakufanyia scrub π
πππJaman kwahyo hamtaki na mm nitoke nyumbani πHuachagi upuuzi wako baba yolly yolly
Utoke nyumbani uende wapi??..tulia hapo ufanane na kuta za nyumba..kwanza ukitoka hapo Nani atakua anatumwa zaga sokoni?πππJaman kwahyo hamtaki na mm nitoke nyumbani π
Unataka kusemaje Mkuu!!Naomba niulize
Umeondoka nyumbn kwa sababu zingine tu
Au ili tu ukaishi mwenyewe ukitegemea biashara hiyo?
Kwema mkuu, sorry uliniahidi kunifundisha hii kitu kutengeneza vipodozi kwenye uzi wa kama unaingiza 30000 kwa siku nadhani utakumbuka ila nilijaribu kukucheki haujanijibu naomba kama utapata nafasi unisaidieHongera
Tengeneza na hata vipodozi vya kike Kama scrub. Mask .anti wrinkles na acne serum vitakuongezea mwendo usichague nini Cha kufanya mpendwa hata Kama jinsia ni me
Anapaswa awe na nyumbani kwake.Hiyo nyumbani ni nyumbani haifai.Ni kwa wazazi.Nyumbani ni nyumbani