M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!