HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
 
We uko serious au unaota!!???Utoke Division 4:31 karibu na zero,upande mpaka 1:14?!!Au nimeangalia vibaya!!??
 
Kama ni kweli basi lete matokeo yako ya awali na matokeo yako mapya ili NECTA ivunjwe. kwa maana tofauti ya alama 15 kwa kila somo haiwezi kukurusha katika daraja zaidi ya mawili na hii inadhihirisha wewe umepata zero maana kuchanua tu umeshindwa.
 
Mpeni mda jamani ili tujue kama ACSEE atafanya kweli. Wa moja havai mbili jamani! Au 3

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kama huamini angalia

[TD="width: 4%"]
[/TD]
[TD="width: 58%"]

[TD="width: 6%"] S0534/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"] M
[/TD]
[TD="width: 6%"] 14
[/TD]
[TD="width: 4%"] I
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B
[/TD]
[/TD]
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.
 
Tena hapo napiga PCB maana nilikuwa na dream ya kuja kusoma Medicine abroad sasa naanza kukomaa ili nitimize ndoto yangu. Soon nitakuwa Dokta jamani.
 
Ur not craz..n f ur..watch out...hopeless necta!!
 
Nimeongea na Mshua kasema nichague shule yoyote ya A'level atanilipia. Mi nachagua kubaki St. Antony maana ndo ninapopaamini sitaki kwenda kwenye hiyo mishule yao ya Government mi-walimu ya huko full Stress lijitu halijalipwa mshahara linakuja kuwamalizia hasira wanafunzi class
 
mnaochonga kuwa tumependelewa poa tu si ndo tunajiandaa kuingia A'level hapo ndo nitakomaa mpaka nigonge Div I ya Point 3 Fom 6.
 
wewe hata ukija kuwa dokta utakuwa walewale madokta mtu anaumwa mguu unamfanyia operesheni ya kichwa!
 
Daah hii ni kashfa ya KARNE div 4: 31 to Div I:14???? kaazi kweli kweli.
 
kama huamini angalia

[TD="width: 4%"]
[/TD]
[TD="width: 58%"]

[TD="width: 6%"] S0534/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"] M
[/TD]
[TD="width: 6%"] 14
[/TD]
[TD="width: 4%"] I
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B
[/TD]
[/TD]
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.

kumbe umepiga st anthony's mbagala mkuu unamjua deusdedit manyama
 
Back
Top Bottom