HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

Bora ungenyamaza ndugu yangu, je wewe unahisi kuwa umefaulu kwa haki na kwa juhudi zako binafsi? matokeo yako halisi ni yale ya kwanza haya maengine ni msaada wa viini macho tu, hivyo wewe ni kilaza na usithubhutu kusema wengine wamefeli hususani wale waliokua wanasoma sana. Unabahati Taifa limekufukiria alafu unatamba eti unatisha, unatisha na matokeo fafa haya, jaribu kuwa na aibuuuuuu, wewe ni kilaza na ulifeli...... shabashiiiiiii
 
tena wewe na wenzako pigeni magoti chini, tafakarini, ikibidi rdudieni mitihani upyaaaa, hapo ndipo utaweza kuongea kwa majigambo lakini kwa usaniii huuuuu, fumba mdomo na endelea na uchakachuaji huo, tunaomba Mungu usisomee fani muhimu kwani unaweza kuleta madhara badala ya kufanya upasuaji wa kuchwa utapasua makario ya mgonjwa
 

hata kama huoni na harufu huhisi?unajidanya mwenyewe huwezi kucopy na kupest ndy unatuambia matokeo yako
 
mnaochonga kuwa tumependelewa poa tu si ndo tunajiandaa kuingia A'level hapo ndo nitakomaa mpaka nigonge Div I ya Point 3 Fom 6.

hata walio anguka 4m 6 walikua na ndoto kama zako ila walizungusha kutokana na kubebwa o'level
 
Hata kutumga tu hujui, hiyo haiwezekani. Pamoja Na kuyachakachua, ufaulu bado ni mdogo sana.
 
Ni mpumbavu tu atakayejisifu kwa hili,ingalikua ni mimi ningelia sana kwani najua wanazid kuharibu ubongo wangu
 
hehehe hio medical school labda sijui uende imtu! Napo sijui. Ila kwa kichwa chako hata ukiwa clinical officer utakua tayari doctor!
Tanzaniaaa!
 
wE DOGO ACHA KUONGEA SANA, UKIONGEA SANA NDIO UNATUONYESHA UJINGA WAKO!! SASA TUNAOMBA UTUPE MATOKEO YAKO YA AWALI ILI TUAMINI!!
 
Da ccm wamezindua mpango wa kuwainua vilaza ili cdm ipate kazi kutawala kuanzia 2015

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hamna uhalal hapo Mr.secret, ungetoa matokeo yako ya awamu zote watu waamin. Halafu usioneshe ulimbuken wa namna hyo. Hayo matokeo mlipewa tu na siyo ya kujisifia.
 
Hiyo inaitwa asante kawambwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Heeee Daktariii, uwiiiii wagonjwa jamani mweee kweli miaka michache ijayo sijui itakuwaje khaaaaaaaaa
Tena hapo napiga PCB maana nilikuwa na dream ya kuja kusoma Medicine abroad sasa naanza kukomaa ili nitimize ndoto yangu. Soon nitakuwa Dokta jamani.
 
Tena hapo napiga PCB maana nilikuwa na dream ya kuja kusoma Medicine abroad sasa naanza kukomaa ili nitimize ndoto yangu. Soon nitakuwa Dokta jamani.

Watch your tongue dogo...still there is a very long rough way to go! Uliza ueleweshwe...
 

"shabashi" mkuu unamfahamu sir mgote/issue boy je?
 
Kama haukuwa kilaza basi awali ulionewa, ila kama ulikuwa kilaza halafu matokeo ndiyo hayo, Hiyo PCB usiende kabisa.
 
kumbe umepiga st anthony's mbagala mkuu unamjua deusdedit manyama

Ni huyu niliemfundisha Linguistics na French Mlimani aka graduate 2008!?? au mwingine...
 
ADVANCE ndo utakapo nyongewa dogo we jipe moyo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…