HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

Tumezoea kila mwaka wanafunzi wakirisiti
mitihani yao waliofanya vibaya.

Lakini mwaka huu Serikali yenyewe imerisiti
mitihani hiyo. CCM OYEEE!(NJANO&KIJANI)
 
Hongera kuna watu walipata tatu leo wana zero


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Dogo mbona umekimbia?Tuwekee na matokeo yako ya kwanza tuhakiki kama ni kweli
 

kwanza we ni kilaza. Umedownload matokeo ya watu. Kwa mbwembwe zako unadhani pcb ni hkl au klf . Utafeli a level. Lafa tuu
 
pumbavu sana,,,kijana wangu kapanda point moja na shuleni kwao waliobadilika ni wale waliofeli hasahasa div four,lakini mabadiliko kama yako hapana,,,
 
umedanganya mkuu matokeo ya kwanza hukupata four ya 31.ulipata one ya 16 civ-c,hist-c,geo-c,kisw-c,engl-b,french-b,phycics-c,chem-b,bio-b,math-b.so kama unakingine cha kupost post tu ucpende kupotosha watu necta wakaonekana wababaishaji. Ushauri wa bure hayo matokeo niyakawaida sana dogo so ucje ukadhani ushamaliza kazi chamsingi piga msuli advance usje ukataga
 
nina furaha kupita maelezo

yaani we zoba kweli hivi unadhani wenye akili timamu wanakusupport?tangu lini F au D ikapanda kwenda B au A?hapo ukute hata darasa la saba hujamaliza unabwabwaja tu kama chizi fresh!
 


Hapo ndipo inanapoipenda JF!Yaani ukija na longolongo zako unaumbuliwa hapo hapo. Huyu Dogo itakuwa kakosea njia alitaka kupost huu utoto wake Facebook. Hapo umeishamuumbua hatorudi tena kwenye hii thread.
 
matokeo mapya tunaangaliaje, please nisaidieni
 
hata kama huoni na
harufu huhisi?unajidanya mwenyewe huwezi kucopy na kupest ndy unatuambia
matokeo yako

mpka 2050 Tanzania itakua imepotea kwenye uso wa Wasomi wa Dunia...pia watoto wa 2040 badala ya kusoma historia ya mikataba ya ulaghai kati ya Carl Peters na Mangungo wa Msovero....watakua wanasoma mkataba wa ulaghai Kati ya Kikwete na Ji nx nping wa China.....mark my words
 



Mbona st.anthony wamesha enda shule mda mrefu kidogo....##will u manage to cover
 

dawa yake ipo. A level
 
Huyu Kilaza asiturushe roho hapa matokeo ya awali ya hiyo namba ni
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 6%"]
S0534/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"]
M
[/TD]
[TD="width: 6%"]
16
[/TD]
[TD="width: 4%"] I[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

na matokeo mapya ni
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 0"]
[TR]
[TD="width: 6%"]
S0534/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"]
M
[/TD]
[TD="width: 6%"]
14
[/TD]
[TD="width: 4%"] I[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa anachokiandika haya sio matokeo yake.
CC andreakalima MC Tilly Chizenga, biee, Mtoboasiri, hekimatele, Likwanda, Masanilo, bily, BHULULU ITEGAMATWI, THE GREAT CAMP, issawema, mafinyofinyo, Paul Kinala, mdeki, Yaledi julius, SN.BARRY, gasper Lasway, Aine, Mwanadiplomasia, Changassy, @Nyagluu.
 


Matokeo yako ya awali ni haya dogo acha kudanganya watu

S0534/0130 M 16 I CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B

link hiyo hapo: https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s0534.htm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…