HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

Nchi ya miujiza, everything is possible.
Lakini nilivosikiaga huku mtaani ni kua NECTA ilichanganya matokeo ya baadhi ya watahiniwa pengine wamerekebisha hilo na kuyanogesha zaidi matokeo kwa viungo vitamu. Kigumu chama cha Mapinduzi!
 

Heri yako wewe ambaye hukujiua baada ya kufeli ile mara ya kwanza!!!!
 
We secret unataka kutujuza kuwa umepata "one" weka na hiyo ya division four tuone?
 
Last edited by a moderator:
Kusoma sana haimaniishi ndo kufaulu,hatujui umetumia njia gan kupata izo max

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mnaochonga kuwa tumependelewa poa tu si ndo tunajiandaa kuingia A'level hapo ndo nitakomaa mpaka nigonge Div I ya Point 3 Fom 6.
nimeshakuona mjinga. ukija kupata hiyo mi ntakulipa. wanaopataga hizo hata siku moja huwasikii wakipumbika kama wewe.
 


miaka yote tumekuwa tukiona wanafunzi wakirisiti mitihani lakini safari hii naona baraza la mitihani,nyinyiem wamerisiti wao
 
Bogus! Fake! Stupid! Childish! Juvenile! It is a bad joke that has made people angry. Huo mzuka actually ni kichaa ambacho hujakitambua. Nenda kwa mganga wa kienyeji labda akusaidie.
Div 4 ya 31pts scenario D-D-D-D-F-F-F-F-F
Div 1 ya 14 pts scenario B-B-B-B-B-B-B
Kwa standardization ni mathematical impossibility ya kupandisha F's to B's unless babako alitishia kumng'oa kucha mtu.

 
naona ni st.anthonys hiyo aisee..ila mbona this is too good to be true..aiseee...we sema ulikua na two ya mwisho ndo imekua hivyo sio 4 mpaka 1 bhana alaaaaaahhh

Yheaaa mkuu itakuwa 2 ya mwishoo xo Wamemvuta kwa PoinT 4 Lakini iyoo ya 31 kaaa labdaa Ukadanganyee wazazi wakoo ambao Wana elimu ya Kuunga Unga kama Mulugoo Ndo wakuamini
 

Hahahaha sure Thing Mkuuu...sio Kucha Tu,,...na kung'oa Meno Bila Ganzi......Fake and Impossibileee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…