HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

Nimeongea na Mshua kasema nichague shule yoyote ya A'level atanilipia. Mi nachagua kubaki St. Antony maana ndo ninapopaamini sitaki kwenda kwenye hiyo mishule yao ya Government mi-walimu ya huko full Stress lijitu halijalipwa mshahara linakuja kuwamalizia hasira wanafunzi class

Mbona una mbwebwe?halafu unakufuru,unafikiri wanaosoma huko serikalini wanapenda?,badala ya kushukuru Mungu kwa kupata hyo opportunity ya wazaz kukusomesha shule nzuri unaongea ujinga?angalia sana,tena uombe Mungu!hao unaowadharau watakuja kuwa watu wa maana zaidi yako ww
 
kama huamini angalia

[TD="width: 58%"]
S0534/0130

[TD="width: 4%"] M [/TD]
[TD="width: 6%"] 14 [/TD]
[TD="width: 4%"] I [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
[/TD]
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.
naona ni st.anthonys hiyo aisee..ila mbona this is too good to be true..aiseee...we sema ulikua na two ya mwisho ndo imekua hivyo sio 4 mpaka 1 bhana alaaaaaahhh
 
Mkuu nakushukuru sana kwa kuweka ukweli hadharani. Hii inaonyesha aina ya Vijana tulionao nyakati hizi. Namtakia kila lakheri katika uongo wake.Ila akumbuke njia ya muongo ni fupi. Dogo anatakiwa atutake radhi. Vinginevyo itakula kwake, sisi ni watu wazima hawezi kutudanganya namna hiyo na inaonyesha huyu mtoto atakuja kuwa mchochezi mkubwa katika nchi hii. Maana hapa alitaka kutumika kuichonganisha NECTA na Wananchi.

Mkuu inabidi Kova angeanza na huyu dogo maana alishahaidi kuwa atakuwa anapitia JF daily kukamata wachochezi.
 
kifo chako chaja na inavoonesha huwa husomi na hiyo combination haitaki wavivu.Maana umesema kuna watu walikkuwa wanapiga msulina hawafaulu kwa mantiki hiyo we ulikuwa husomi ila umebebwa ndo maana hujaamini.
kama kweli ulikuwa inteligent basi ungekuwa ulishakata rufaa muda mwingi badala ya kukata tamaa kama wewe.
Roughly huyu mtu manake mwanzoni alikuwa na D nne na mengine yote F iweje leo roughly awe na B zote.Hii story kama ya kupikwa kama ni kweli NECTA imeoza
 
kwa vile ishu yako ni skendo na ni kashfa kwa NECTA ngoja tufanye mchakato wa kuyapitia tena matokeo yako.uzuri wake umetoa hadi namba yako.
 
Matokeo yake halisi ndo IV-31.
baada ya kuboreshwa.
Bado haendi popote.
Dogo katafuta njia nzuri ya kujipunguzia presha na mawazo.
Walao akili bado ziko.
 
kama huamini angalia

[TD="width: 58%"]
S0534/0130

[TD="width: 4%"] M [/TD]
[TD="width: 6%"] 14 [/TD]
[TD="width: 4%"] I [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B [/TD]
[/TD]
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.

ok hii centre number ni st anthonys secondary school mbagala. ulikuwa na IV ukapat IV na sasa upo na I..ndugu hata sisi tumesoma kama wewe na pia wengine tumesoma hapo SAS.. kuwa makini kwani sio wote nataka kusikiliza haya mambo ua uongo. undesema umetoka two ya kwanza hadi one sawa ndugu lakni toka daraja la IV hadi daraja la I. hata mdogo wako ukimwambia lazma atakuuliza mara mbili..
 
dawa yake ipo. A level
hamna kitu huku ni kutaka kujikweza .unajua mwaka wamesysytemise na kustandardise ndo watu wakawaenda form miaka yote ingekuwa hivi nadhani nchi hii ingekuwa hoi kabisa , you know what am saying within the context of power of knowledge and capacity to conceive it. mwaka sijui kuna mtoto wa nani jamani au ni kumuokoa waziri?
 
kama huamini angalia

[TD="width: 4%"]
[/TD]
[TD="width: 58%"]

[TD="width: 6%"] S0534/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"] M
[/TD]
[TD="width: 6%"] 14
[/TD]
[TD="width: 4%"] I
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-B HIST-B GEO-C KISW-B ENGL-B FREN-B PHY-C CHEM-B BIO-B B/MATH-B
[/TD]
[/TD]
Naingia A'level kwa mbwembwe tena shuleni wameniambia naweza kurudi hapo hapo A'level hakuna haja ya kwenda mishule ya Serikali.

teh teh teh teh!!
 
kwa vile ishu yako ni skendo na ni kashfa kwa NECTA ngoja tufanye mchakato wa kuyapitia tena matokeo yako.uzuri wake umetoa hadi namba yako.

mwache dogo atoke mbona mnapenda kubaniana ....kula urefu wa kamba yako
 
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) ha ha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
Hakuna kitu kama hicho, acha uongo usiyo na maana.
 
Mbona una mbwebwe?halafu unakufuru,unafikiri wanaosoma huko serikalini wanapenda?,badala ya kushukuru Mungu kwa kupata hyo opportunity ya wazaz kukusomesha shule nzuri unaongea ujinga?angalia sana,tena uombe Mungu!hao unaowadharau watakuja kuwa watu wa maana zaidi yako ww

akili yake bado changa si unaona hata ongea yake anafikiri hapa anaongea na wenzie wa age yake eti mshua.....dogo usijiamini sana advance mahala pengine watu wanatokaga na one form four wakifika advance wanapata zero... all the best mdogo angu
 
mwache dogo atoke mbona mnapenda kubaniana ....kula urefu wa kamba yako
wasiwasi wa nini wakati ana uwezo kitaaluma.hatumbanii ila kama ni kweli pia itasaidia kujua pengine kuna watanzania kibao wanafaulu kumbe wanafelishwa.Ila huyu dogo kaamua tu kujifurahisha
 
Mbona una mbwebwe?halafu unakufuru,unafikiri wanaosoma huko serikalini wanapenda?,badala ya kushukuru Mungu kwa kupata hyo opportunity ya wazaz kukusomesha shule nzuri unaongea ujinga?angalia sana,tena uombe Mungu!hao unaowadharau watakuja kuwa watu wa maana zaidi yako ww

amenichafua sana na ni muongo 2 huyo ila tumushukuru yeye na baba yake kwa kuwa maadui wetu
 
Back
Top Bottom