maria pia
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 516
- 118
Nimeongea na Mshua kasema nichague shule yoyote ya A'level atanilipia. Mi nachagua kubaki St. Antony maana ndo ninapopaamini sitaki kwenda kwenye hiyo mishule yao ya Government mi-walimu ya huko full Stress lijitu halijalipwa mshahara linakuja kuwamalizia hasira wanafunzi class
Mbona una mbwebwe?halafu unakufuru,unafikiri wanaosoma huko serikalini wanapenda?,badala ya kushukuru Mungu kwa kupata hyo opportunity ya wazaz kukusomesha shule nzuri unaongea ujinga?angalia sana,tena uombe Mungu!hao unaowadharau watakuja kuwa watu wa maana zaidi yako ww