HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

Ujatisha wala nini acha kujifariji wewe ni kilaza tuuuuuu
AH AH SEMA SISHANGAI KUNA JAMAA YANGU ALITOKA DIVIDION 3 YA KUMI NA TAN O HADI DIV 1 YA 4 UNAAMBIWA UKIJUA KUDEAL NA VIONGOZI NECTA WATU WANABADILI KUANZIA CHETI HADI KWE SYSTEM..:smash:.........
 

Dogo haya mambo ni ya kawaida kabisa, hata sisi tumepita huko huko; angalia usije ukaangukia pua uko mbele ya safari.
Halafu kwanini unamwaga uwongo hapa Jamvini?
 
Dogo weka matokeo mapya na yale ya awali,sije ikawa unatupiga changa la macho,ili ionekane baraza siyo watu makini.








WE
Matokeo yake haya hapa. [TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S0534/0130
[/TD]

[TD="width: 4%"]
M
[/TD]

[TD="width: 22%"]
FRANK KIHAMBA
[/TD]

[TD="width: 6%"]
29
[/TD]

[TD="width: 4%"]
IV
[/TD]

[TD="width: 58%"]
CIV-D HIST-F GEO-D PHY EDU-D KISW-F ENGL-C BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
abishe sasa
 
hatimae umeshika mimba baada ya miaka mingi yakuangaika kwa waganga wa kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…