Imetiki vipi anayoUmempima ngoma? Kuna mwenzako kaopoa kutoka tinder baada ya kumpima ngoma imetiki akakimbilia Jf kuanzisha thread.
Watu wandhani Badoo kuna malaya tu sio kweli hata Bar ni hivyo hivyo, sio kila muuza bar ni malaya au Wauza mbunye barabarani wote ni malaya la hasha, wengine ni shida tu.Wakuu,
Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.
Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa.
Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra.
Nashukuru badoo imenipa mke bora mtoto mweupeeh
Wakuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnaijua badoo au mnaisikiaga?
Nimeona niwafurahishe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha masikhara mimi huyo?Watu wandhani Badoo kuna malaya tu sio kweli hata Bar ni hivyo hivyo, sio kila muuza bar ni malaya au Wauza mbunye barabarani wote ni malaya la hasha, wengine ni shida tu.
Hongera Kimsboy, mtunze sasa..kama roho yako imependa tulizana naye usiende tena badoo.
NB:
Tupia basi picha yake hapa