Hatimaye nimepata mke bora kutoka Badoo

Hatimaye nimepata mke bora kutoka Badoo

vipi unachokula sasahivi ni sawa na ulichokuwa unakula kipindi cha mwanzo, maisha yana standard zake, wewe mwenyewe msosi ukiwa mbaya utakuwa unakula gengeni, mama nawanae ndo wale ugali tembele,
.
.
huwez kuwa bilionea kwa kula vibaya, afya kwanza mengine baadae, kikubwa pangilia vizuri mshahara wako tuu, na vyakula viwepo nyumbani kupunguza gharama,
.
.
usijibanie mzee hayo mambo ni ya kwetu ambao hatujaoa nahatuna kazi bado!
 
Cha msingi tuwe wazima tu,nadhani kuna siku unarudi tena humu humu JF kusema neno kama ulivyosema siku hii,hajalishi ni kipindi gani kitapita.Nadhani ukirudi na mrejesho humu utaanza na maneno kama "mnakumbuka niliwahi kupost thread humu ya kuopoa mke badoo..."
 
Wakuu,

Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.

Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa.

Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra.

Nashukuru badoo imenipa mke bora mtoto mweupeeh

Wakuu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnaijua badoo au mnaisikiaga?

Nimeona niwafurahishe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wandhani Badoo kuna malaya tu sio kweli hata Bar ni hivyo hivyo, sio kila muuza bar ni malaya au Wauza mbunye barabarani wote ni malaya la hasha, wengine ni shida tu.
Hongera Kimsboy, mtunze sasa..kama roho yako imependa tulizana naye usiende tena badoo.
NB:
Tupia basi picha yake hapa
 
Watu wandhani Badoo kuna malaya tu sio kweli hata Bar ni hivyo hivyo, sio kila muuza bar ni malaya au Wauza mbunye barabarani wote ni malaya la hasha, wengine ni shida tu.
Hongera Kimsboy, mtunze sasa..kama roho yako imependa tulizana naye usiende tena badoo.
NB:
Tupia basi picha yake hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha masikhara mimi huyo?
 
Back
Top Bottom