sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,258
- 649
Namshukuru sana Mungu kwa matendo yake ya huruma, mnamo tarehe 24/5/2013 siku ya ijumaa saa 3.45 asubuhi,mke wangu alijifungua kwa njia ya operation pale Amana Hospital nakupata mtoto wa kike(Baby Girl).Jana mchana walimruhusu na kurejea nyumbani yeye pamoja na mtoto wetu.ASANTE MUNGU KWA WEMA WAKO.
hongera sana mkuu! wewe baba wa mtoto unaendeleaje kiafya na mzazi mwenzio na kababy girl?
Hongera sanaaaaaa
Hongera sana mkuu
Hongera sanaa
hongera tena! niko serious nataka kijana wangu aje awekeze hapo kwako!
Hongera sana.
Mkuu kabanga,kama kijana wako ataweza mudu mikimiki ya home anakaribishwa sana,maana kuna mbwa mkali misili ya chui,pamoja na masai getini,ahaaa haaaaaaaaaaaaaa
mkuu.. unazungumzia mbwa!! mimi kwangu nafuga kachittah! nilikapata mbugani... si unajua ukiongozana na magamba?