Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Daima Mungu ni mwema sana. Hongereni sana nyote wawili kwa zawadi hiyo toka kwa Mungu. Mwombeni sasa awape busara na hekima kumlea binti yenu katika imani kuu.
Daima Mungu ni mwema sana. Hongereni sana nyote wawili kwa zawadi hiyo toka kwa Mungu. Mwombeni sasa awape busara na hekima kumlea binti yenu katika imani kuu.
hongera sana.
MUNGU amlinde akue kwenye malezi mema, amjue MUNGU na apate mume bora kama mimi!
Hongera mzaa chema!
Hongera mkuu, tupe basi picha ya baby!!
hongera sana mkuu!!
Asante sana passion lady,mtoto ananywele nzuri kama za kwenye hiyo picha(avatar)
wacha weeee!!
basi kama wifi hua anaingia jf
atakua alipenda sana hiyo avatar
akakopy na kupaste nywele!!hongera nitakuja kumuona
sweet bby girl!!
asante sana nitakaribiaAhaaaaaa!!!anapita mara moja moja sana,siyo member humu jf,lakini uaanachungulia kidogo kidogo,karibu sana uje kumuona mtoto!!!
hongera sana kuwa baba.......,
keep on supporting your wife ktk malezi