Hatimaye nimepata mtoto wa kike tarehe 24/5/2013

Daima Mungu ni mwema sana. Hongereni sana nyote wawili kwa zawadi hiyo toka kwa Mungu. Mwombeni sasa awape busara na hekima kumlea binti yenu katika imani kuu.
 
MUNGU amlinde akue kwenye malezi mema, amjue MUNGU na apate mume bora kama mimi!

Hongera mzaa chema!
 
Daima Mungu ni mwema sana. Hongereni sana nyote wawili kwa zawadi hiyo toka kwa Mungu. Mwombeni sasa awape busara na hekima kumlea binti yenu katika imani kuu.

Hakikak mungu ni mwema sana,asante kwa ushauri wako tutauzingatia ipasavyo.
 
MUNGU amlinde akue kwenye malezi mema, amjue MUNGU na apate mume bora kama mimi!

Hongera mzaa chema!

Ahaaaaaa!!!asante kwa kuwa mume bora,lakini sijui nani ambaye aliyethibitisha hili kuwa wewe ni mume bora,au TBS nini ahaaa aaaa,ayaa bana pamoja sana.
 
wacha weeee!!
basi kama wifi hua anaingia jf
atakua alipenda sana hiyo avatar
akakopy na kupaste nywele!!hongera nitakuja kumuona
sweet bby girl!!

Ahaaaaaa!!!anapita mara moja moja sana,siyo member humu jf,lakini uaanachungulia kidogo kidogo,karibu sana uje kumuona mtoto!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…