Hatimaye nimepata tulizo la moyo wangu (mpenzi/mahabuba) ndani Jamii forums

278919118_1093603897885924_6157812142717961832_n.jpg
 
Kuna kapo humu ziliwahi kuvuma sana. Mpaka zikawa zinatagiana katika kila posti lakini nazo zilipita.

Nikiwa kama mwakilishi wa timu roho mbaya ya Wabongo nasema hivi na wewe na huyo kyuti waifu wako mtaachana tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

View attachment 2628497
Shiiiiiiimbaaaaaaaa
 
Kama kawaida yenu msiopenda maendeleo yangu Mimi na my wangu Cute Wife

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom