Hatimaye nimepata tulizo la moyo wangu (mpenzi/mahabuba) ndani Jamii forums

Hatimaye nimepata tulizo la moyo wangu (mpenzi/mahabuba) ndani Jamii forums

Umejuajeeeee?? Ntatoka km fashionista.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntawazidi wote ukumbini.
Bwana harusi jicho lote kwangu. Na mie ntakua namkonyezaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tobaaa Tobaaaaa,kumkonyeza bwana harusi ni kutuharibia shughuli
 
Ifike mahali na Mimi nirushe ndoano kwa member mmoja hapa Jeiefu wa kike nione kama nitaopoa.
 
Back
Top Bottom