Hatimaye nimepata tulizo la moyo wangu (mpenzi/mahabuba) ndani Jamii forums

Yaani hicho kinjunga atachokivaa bi harusi utaomba poo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na vile hajui kununa weweweeee

Mwenyekiti naomba uwape dressing code za heshima, nisije bebewa mume kuna watu wanapania sherehe za wenzao! Tena coca wa kuwa makini nae sana [emoji1787][emoji1787]
 
Angalizo,,,,tunaomba siku ya harusi uvae nguo ya heshima,hatutaki vinjunga ukapoteza concentration ya bwana harusi,,,maana bi harusi ana wasiwasi na wewe 😂😂😂cocastic
 
Wajomba wa mume mshaanza chokochoko [emoji1787]
Mpwa wako kanielewa hapa hachomoi na mtake msitake mie ndio mkazwa mkwe wenu hivyo [emoji1787][emoji1787]
Nimekoma sirudii tena😁😁😁
 
[emoji15][emoji15] jamani mpk kamati ishaundwa na mwenyewe taarifa sina!!!? Haya michango iingie kwenye namba za bi harusi mtarajiwa.

Kiwango cha chini cha kamati kianzie laki 5 [emoji12]
Usiwazeee me ndio mwenyekiti wa kamati sema kingine [emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya juhudi zangu za kudate na Wema Sepetu kugonga mwamba NALIA NGWENA nimejikuta nimetumbukia kwenye wimbi zito (mahaba mazito) na mtoto wa Jamii forum Cute Wife nimeshikwa kweli kweli.

Kabla sijazungumza chochote naomba nitoe angalizo kwa wanaume wa Jf / dindadinda usioona kichaka lazima na nyinyi mkate gogo, endapo nitakutia mkononi ukirusha mistari tongozo (ukimtongoza mpenzi wangu) basi jiandae na adhabu moja wapo Kati ya hizi

1/ nitakuvua nguo nitakuchomchoma mwili mzima na mwiba au sindano Kisha nakuogesha maji ya baridi unavaa nguo zako kitakacho kukuta huko kwenu ni wewe na wazazi wako.

2/ nikikutia mkononi upo na Cute Wife mwenzangu anakushika mikono Mimi miguu Kisha tunakuchekecha Kama chekecha linalotumika huko mashineni then tunakuacha uende kwa wazazi wako.

Chunga sana kijana wa Jamii forum, lakini pia naomba nitoe shukurani zangu za dhati kabisa kwa ndugu wa Cute Wife walionisapoti toka mwanzo mpaka kufikia hapa.

Ahsant sana Shunie Mrs Lissu amadala Joannah nimefarijika sana mliposema kuwa mtakua na Mimi bega kwa bega hata Kama ndugu yenu atanikataa lakini mashemeji hamtoniangusha kwa kweli nimefarijika mno Tena mno na haya maandiko nayaandika kwa moyo mkunjufu kabisa bila makando kando.

Asante sana Lovie Lady kwa kunifuata PM na kutoa ahadi/kuniahidi kuwa siku ya harusi yangu utaninunulia mafuta nitakayojipaka na kufanya ngozi yangu imeremete Kama njongoo nashukuru sana na ubarikiwe.

Natoa shukurani za pongezi pia kwa wanaume wenzangu mliokuwa mkinivunja moyo na kejeri kuwa siwezi miliki mtoto mkali Kama Cute Wife, mungu awabariki sana muendelelee na Roho zenu za korosho/Birika na mungu awarefushe midomo yenu iwe mikubwa Kama chupa.

Wazee wa kataa ndoa nawapa pongezi zenu na juhudi zenu Elon Musk tayari ametatua changamoto zenu Sasa mtakua hamtumi nauli, bando nk.

NALIA NGWENA na Cute Wife Mambo ni [emoji91]
View attachment 2628456
Ukifilisika rudi hapa kuomba kazi za kusogeza maisha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mc km Mc hakikisha unanipamba sana siku hiyo mpk upande wa bwana harusi waniogope wasinichukulie powa!

Sema bwana harusi ataniharibia watoto ana sura ngumu jamani najitahidi kumuelewa nashindwa hivyo mwenzenu [emoji119]
My wangu hiyo sura ya shem mkilala usiku unamfunika usoni na shuka huku unaendelea na mambo mengine [emoji1787] mc usisahau kumletea somo huyu cocastic
Somo na mwali kagalauke [emoji1787][emoji1787]
 
Ukifilisika rudi hapa kuomba kazi za kusogeza maisha

Wifi mbona umeanza gubu mapema [emoji1787][emoji1787] akifirisika si mtauza kibanda cha urithi wifiyo niendelee kumpenda kakaako jamani!!

Wewe mwenyewe si umemuona kakaako alivyo we kuweza [emoji1787]
 
My wangu hiyo sura ya shem mkilala usiku unamfunika usoni na shuka huku unaendelea na mambo mengine [emoji1787] mc usisahau kumletea somo huyu cocastic
Somo na mwali kagalauke [emoji1787][emoji1787]

Najikaza lakini unaweza usiku ukaita mwiziii baadae unakumbuka kumbe laaziz [emoji1787]
 
Kuna kapo humu ziliwahi kuvuma sana. Mpaka zikawa zinatagiana katika kila posti lakini nazo zilipita.

Nikiwa kama mwakilishi wa timu roho mbaya ya Wabongo nasema hivi na wewe na huyo kyuti waifu wako mtaachana tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

View attachment 2628497
kamati ya roho mbaya inadai matako yenyewe yameachana hawa ni kina nani wasiachane
 
Baada ya juhudi zangu za kudate na Wema Sepetu kugonga mwamba NALIA NGWENA nimejikuta nimetumbukia kwenye wimbi zito (mahaba mazito) na mtoto wa Jamii forum Cute Wife nimeshikwa kweli kweli.

Kabla sijazungumza chochote naomba nitoe angalizo kwa wanaume wa Jf / dindadinda usioona kichaka lazima na nyinyi mkate gogo, endapo nitakutia mkononi ukirusha mistari tongozo (ukimtongoza mpenzi wangu) basi jiandae na adhabu moja wapo Kati ya hizi

1/ nitakuvua nguo nitakuchomchoma mwili mzima na mwiba au sindano Kisha nakuogesha maji ya baridi unavaa nguo zako kitakacho kukuta huko kwenu ni wewe na wazazi wako.

2/ nikikutia mkononi upo na Cute Wife mwenzangu anakushika mikono Mimi miguu Kisha tunakuchekecha Kama chekecha linalotumika huko mashineni then tunakuacha uende kwa wazazi wako.

Chunga sana kijana wa Jamii forum, lakini pia naomba nitoe shukurani zangu za dhati kabisa kwa ndugu wa Cute Wife walionisapoti toka mwanzo mpaka kufikia hapa.

Ahsant sana Shunie Mrs Lissu amadala Joannah nimefarijika sana mliposema kuwa mtakua na Mimi bega kwa bega hata Kama ndugu yenu atanikataa lakini mashemeji hamtoniangusha kwa kweli nimefarijika mno Tena mno na haya maandiko nayaandika kwa moyo mkunjufu kabisa bila makando kando.

Asante sana Lovie Lady kwa kunifuata PM na kutoa ahadi/kuniahidi kuwa siku ya harusi yangu utaninunulia mafuta nitakayojipaka na kufanya ngozi yangu imeremete Kama njongoo nashukuru sana na ubarikiwe.

Natoa shukurani za pongezi pia kwa wanaume wenzangu mliokuwa mkinivunja moyo na kejeri kuwa siwezi miliki mtoto mkali Kama Cute Wife, mungu awabariki sana muendelelee na Roho zenu za korosho/Birika na mungu awarefushe midomo yenu iwe mikubwa Kama chupa.

Wazee wa kataa ndoa nawapa pongezi zenu na juhudi zenu Elon Musk tayari ametatua changamoto zenu Sasa mtakua hamtumi nauli, bando nk.

NALIA NGWENA na Cute Wife Mambo ni [emoji91]
View attachment 2628456
Nimecheka sana daaaah Nalia ngwena
 
Wifi mbona umeanza gubu mapema [emoji1787][emoji1787] akifirisika si mtauza kibanda cha urithi wifiyo niendelee kumpenda kakaako jamani!!

Wewe mwenyewe si umemuona kakaako alivyo we kuweza [emoji1787]
Hapana kwa kweli wifi.
Naogopa sana kaka angu atafilisika bora aendelee kua single.
Maana urithi tuloachiwa madeni🤣🤣🤣🤣
 
Hapana kwa kweli wifi.
Naogopa sana kaka angu atafilisika bora aendelee kua single.
Maana urithi tuloachiwa madeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787] wifi mbona roho mbaya mapema wewe subiri niolewe utaishia nje nakwambia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna namna zaidi ya kujikaza

Meno yale sasa anaweza kukuparua lips wakati wa kukiss [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndugu zangu mmejua kunichuza
 
Back
Top Bottom