Hatimaye nimepata tulizo la moyo wangu (mpenzi/mahabuba) ndani Jamii forums

Hatimaye nimepata tulizo la moyo wangu (mpenzi/mahabuba) ndani Jamii forums

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mc km Mc hakikisha unanipamba sana siku hiyo mpk upande wa bwana harusi waniogope wasinichukulie powa!

Sema bwana harusi ataniharibia watoto ana sura ngumu jamani najitahidi kumuelewa nashindwa hivyo mwenzenu [emoji119]
Mie tenaa harusi ya udugu wangu nisikupambeeee, yaan mbna wakweooo watasemaa alaaaah kijana wetu kapata mke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi
Smart na mahondaw waliishia wapi?
Mshana na demis je
na yule mwenye Sweta la Tanzania je?

Ukipata jibu utajituliza

Mashangazi upande wa mume nimewakosea nini lakini [emoji1787][emoji1787] Subirini harusi ipite kwanza ndio mnichambe
 
Kuna kapo humu ziliwahi kuvuma sana. Mpaka zikawa zinatagiana katika kila posti lakini nazo zilipita.

Nikiwa kama mwakilishi wa timu roho mbaya ya Wabongo nasema hivi na wewe na huyo kyuti waifu wako mtaachana tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

View attachment 2628497

Mbona wanga wengi hivi tutatoboa kweli [emoji1787]
 
Back
Top Bottom