Hatimaye nimepata Usajili wa Kimataifa wa Muziki wangu(ISRC), naweza kuuza popote na kuchezwa TV au Redio yoyote duniani

Hatimaye nimepata Usajili wa Kimataifa wa Muziki wangu(ISRC), naweza kuuza popote na kuchezwa TV au Redio yoyote duniani

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO.

Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me on You Tube, DJ. DON NALIMISON.
1622568018610.png
 
Hongera sana mkuu kwa hatua hiyo. Ushauri, picha ya kwenye lebo ungeweka ukiwa unaimba siyo hiyo uliyoiweka.
 
Aisee Ngachoka chokiii..Jina la usanii ni hili hili mkuu?
 
Mkuu fanya collabbo na giants kama Wizkid,Migos,Drake...bongo ushamaliza
 
Join with me on You Tube, DJ. DON NALIMISON.

Unastahili pongezi kwa hatua hii uliyofikia.

Sasa ni wajibu wako kuwa conscious kuwa scene za video zako ziwe za kimataifa, mambo ya scene kusukumana au kuvutana yasiwepo bali tumia mistari kufikisha ujumbe usionekane mnyanyasaji hata kama humtaki tumia staili nyingine.

Ukifuata ushauri huu mdogo utafika mbali kimataifa.

 
Nimekubali mzee wa kazi.

Sikupingi
 
Back
Top Bottom