Hatimaye nimepata Usajili wa Kimataifa wa Muziki wangu(ISRC), naweza kuuza popote na kuchezwa TV au Redio yoyote duniani

Hatimaye nimepata Usajili wa Kimataifa wa Muziki wangu(ISRC), naweza kuuza popote na kuchezwa TV au Redio yoyote duniani

Mkuu Don Namilison, kwenye video zako kuna sehemu inaonyesha kichwa kimebonyea upande mmoja. Umewahi kupata ajali?
 
Unastahili pongezi kwa hatua hii uliyofikia.

Sasa ni wajibu wako kuwa conscious kuwa scene za video zako ziwe za kimataifa, mambo ya scene kusukumana au kuvutana yasiwepo bali tumia mistari kufikisha ujumbe usionekane mnyanyasaji hata kama humtaki tumia staili nyingine.

Ukifuata ushauri huu mdogo utafika mbali kimataifa.

Go go go go go away..I don like to see u again
 
Wee!! jamaa mbona kama Bangi zimejaa kichawani huko!!! mi wrinkles hiyo nani kasema ufanye hivo!! ndo umefundishwa utishie wasahabiki wako hivo? au kuna kitu unaficha...
 
Back
Top Bottom